Habari

Mkenya Kugaramika Zaidi huku Bidhaa Muhimu Zikitarajiwa Kupanda

Published

on

Bei ya Bidhaa muhimu kama vile mkate na maziwa  huenda ikapanda iwapo mswada unaopendekezwa na wizara ya fedha utapitishwa bungeni .

Bidhaa hizo  zinatarajiwa kupanda kwa asilimia 16 huku mkate unaouzwa kwa  shilingi  50 kwa sasa ukitarajiwa  kupanda hadi shilingi 58.

Wenye  mikopo pia wanatarajiwa  kugaramika zaidi mswada huo ukipendekeza wanaochukua mikopo kulipia  asilimia 20 kama faida

Kulingana na washikadau, hatua hiyo imesababishwa  na kuongezeka kwa bei ya mafuta nchini katika siku za hivi karibiuni.

Click to comment

news

Exit mobile version