Mkenya Akitoa Damu katika Kituo cha Kuhifadhi Damu katika Kaunti ya Nakuru
Wataalam wa afya wanasema msaada mmoja wa damu unaweza kuokoa maisha ya watu watatu. Mbali na kutumiwa kama damu yote, inaweza pia kugawanywa katika vitu tofauti – seli nyekundu za damu, chembe za damu au plasma na kutumika kutibu magonjwa kadhaa.
Sikiliza Taarifa Hii iliyoandaliwa na Henix Obuchunju