Ardhi zilizowachwa kwa manufaa ya jamii ili zitumike katika ukuzaji wa talanta kupitia michezo tofauti kama kandanda,kabadii,mpira wa nyavu,voliboli,tenisi na michezo mingine inanyakuliwa yote na watu na kampuni binafsi.
Sikiliza Makala haya kuhusu uwanja wa michezo wa Baba Dogo,jijini Nairobi.
UNYAKUZI WA VIPANDE VYA ARDHI VYA KIJAMII UTAZUIA UKUZAJI WA TALANTA by Jmwilwatsi