Baadhi ya Watoto wa kike kutoka familia masikini mtaani Kibra wameripotiwa kukosa sodo wakati wa hedhi
Pana haja ya kuwapa watoto wa kike katika shule za msingi na upili sodo ili kuepuka uwezekano wa wao kukosa masomo pale shuleni.
haya yameibuka baada ya mwahabari mwenza henix obuchunju kuaandaa makala maalum kuhusu jinsi ukosefu wa sodo unawakosesha raha baadhi ya watoto wa kike