Connect with us

Habari

Ni Nani Mmiliki Halisi wa Ardhi ya Kibra?

Published

on

Kila mara kunapopangwa mradi wa maendeleo mtaani Kibra hakukosi kuwepo na malalmishi kutoka kwa wanachi kuhusu jinsi serikali inavyotekeleza miradi hiyo.

Swala kuu limekuwa kuhusu kubomolewa kwa makazi ya watu bila fidia na wakati mwingine notisi kutolewa kwa wenyeji.

Ni jambo linaloibua swali tata, kwani ni nani mmiliki halisi wa ardhi ya Kibra? Ni nani ana haki ya kufidiwa ikiwa atafurushwa kutoka kwa makazi yake? Alex Kememwa amelizamia swala hilo katika ripoti hii.

 

 

 

Makala haya yametayarishwa na Pamoja FM kwa kushirikiana na Code for Africa , Kenya Community Media Network na Baraza la vyombo vya habari katoliki ( CAMECO) kwa msaada kutoka ushirikiano wa Ujerumani kama sehemu ya mradi “kaunti yetu , jukumu letu” 

Alex Kememwa
+ posts
Continue Reading
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *