Uvujutaji Sigara umehusishwa pakubwa na Wanaume ilikilangishwa na Wanawake. Takwimu kutoka taasisi ya Kitaifa inayombana na dawa za Kulevya (NIH) zimeonyesha kuwa wanaume wanaongoza katika uvutaji sigara kwa asilimia 16.7 huku wakifutwa na wanawake kwa asilimia 13.6.