Takriban miaka thelathini, mashirika yasiyo ya kiserikali yamekuwa yakifadhili
masomo ya wanafunzi kwa kuwalipia karo,kuwapa vyakula na hata wengine kulipiwa kodi za
nyumba mtaani Kibra.
Ufadhili huo hufanywa na washikadau tofauti miongoni mwao makanisa,benki,mashirika yasiyo ya kiserikali na kadhalika.
Ni kutokana na hayo ambapo baadhi ya wananchi wameonekana kutegemea misaada hiyo sana na kukosa kuwajibikakwa.
Abigael Nduku na ripoti hiyo kikamilifu.