Connect with us

Habari

Mazingira Chafu, Tishio Kwa Afya

Published

on

Eneo la Kutupa Taka katika wadi ya Makina kwenye eneo bunge la Kibra (Photo Courtesy)

kwa mujibu wa utafiti wa Lancet, Uchafuzi wa mazingira unaua watu wengi zaidi kila mwaka kuliko hata vita, maafa na baa la njaa. Utafiti huo unaonyesha Asilimia tisini na mbili ya vifo vinavyotokana na uchafuzi wa mazingira vilitokea katika nchi zinazoendelea zenye mapato ya chini au ya kati, huku India ikiongoza kwenye orodha kwa milioni 2.5, ikifuatiwa na China , milioni 1.8.

 

Kulingana na utafiti huo, mzigo wa kifedha pia unaathiri nchi maskini zaidi ikilinganishwa na asilimia 4.5 katika nchi tajiri.

Susan Emali
+ posts
Continue Reading
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *