Habari

Manufaa Ya Kunyonyesha Mtoto

Published

on

PICHA :Kwa hisani ya mtandao

Kenya ni mojawapo ya mataifa barani Afrika ambayo yamepiga hatua katika kuelimisha idadi kubwa  ya wanawake wanaowanyonyesha watoto wao.

kunyonyosha ni hatua ya kuanza kumzuia mtoto kutokana na magonjwa mbalimbali, kuimarisha kinga mwilini vile vile kuongeza uhusiano wa mama na mtoto.

Victor Moturi na ripoti hiyo kikamilifu.

WIKI YA KUNYONYESHA DUNIANI-MAKALA REDIONI by Motuvictor

Click to comment

news

Exit mobile version