Kenya ni mojawapo ya mataifa barani Afrika ambayo yamepiga hatua katika kuelimisha idadi kubwa ya wanawake wanaowanyonyesha watoto wao.
kunyonyosha ni hatua ya kuanza kumzuia mtoto kutokana na magonjwa mbalimbali, kuimarisha kinga mwilini vile vile kuongeza uhusiano wa mama na mtoto.
Victor Moturi na ripoti hiyo kikamilifu.