Pameibuka habari za Kupotosha kwamba kuvalia Maski huongeza uwezekano wa binadamu kupatwa na Saratani. Habari hizi za kupotosha zimewafanya baadhi ya watu mtaani kibra kukosa kuvalia barakoa . Steven Onyango anaarifu kwa kina ni kwa nini Maski haisababishi saratani.