Miungano ya Azimio na Kenya Kwanza inammezea Mate Kiongozi wa Chama cha Wiper Kalonzo Musyoka. Ni upi Muungano bora kwa Bwana Musyoka?
Musyoka, ambaye ni mmoja wa Vinara kwenye Muungano wa Kenya Kwanza alitangaza kuwa kamwe hatashurutishwa kujiunga na Mrengo wa Azimio la Umoja na iwapo mazungumzo yatafanyika, basi yawe kwa njia ya wazi.