Watoto, Kama watu wazima , wanashauriwa Kupokea Chanjo Dhidi ya Virusi vya Covid19. Lakini Wataalam wa Afya kutoka Shirika la afya duniani WHO wanasema watoto watashuhudia dalili za baadaye kama vile kuchoka, kupanda kwa joto mwilini, kuumwa kwa misuli miongoni mwa dalili zingine. Dalili Hizi hushudiwa kwa watu wazima pia.