Katika jamii nyingi familia hutazamiwa kama kikundi kinachojumuisha baba, mama na watoto au watu wa ukoo moja.
Lakini Leo hii baadhi ya watoto wanakua katika familia zinaoongozwa na mzazi mmoja. Sensa ya mwaka wa 2019 inaashiria ongezeko kubwa la familia hizo.
Hali hiyo imechangiwa na maswala tofauti kama vile mimba za mapema, kifo cha mzazi mmoja, talaka miongoni mwa sababu zingine.
Makala ya Doa la Ndoa yanashirikisha wakili wa maswala ya kifamilia, mchungaji na wazazi wawili wanaolea watoto kivyao kupata taswrira kamili.
Denis Omondi na Ripoti kikamilifu