Imebainika kuwa asilimia 49 ya watoto wa kike na 48 ya watoto wa kiume kati ya miaka 11-17 nchini Kenya wamepitia dhulma za kijinsia. Vitendo hivyo, kwa wakati mwingi hutekelezwa na watu walio karibu na watoto hao. Makala haya, yalioandaliwa na Henix Obuchunju, yanapekua ni vipi watoto mtaani kibra wanadhulumiwa kingono katika shirika lisilo la kiserikali wanalopokea msaada.