Vijana katika eneo la Mlima Elgon Wamekumbatia Kilimo cha mboga (Picha kwa hisani)
Katika siku za hivi karibuni,Vijana wanaoishi mlima Elgon wameanza kuzamia kilimo cha mboga Pamoja na mimea mbalimbali ili kujikimu kimaisha na pia kuchangia lishe bora kwenye familia zao.Mwanahabari wetu Victor Moturi na taarifa Zaidi.