Tangu kutangazwa kwa kisa cha kwanza cha virusi vya korona nchini,Bei ya matunda aina ya limau ,ndimu na hata tangawizi ilipanda maradufu,huku bidhaa hizo zikiadimika sokoni.Kulingana na wateja pamoja na wauzaji,hali hiyo nikutokana na bidhaa hizo kusemekana kuponya ugonjwa wa covid19.Lakini swali ni je?ndimu,limau pamoja na tangawizi huponya virusi vya Corona?