Nchini Kenya, wizara ya Afya kwa ushirikiano na chama cha madaktari KMPDU pamoja na washikadau wengine wamekuwa katika harakati za kuondoa fikra potovu kuhusu chanjo ya Covid19. Juhudi Hizo zinaonekana kuzaa mtaunda lakini bado wapo walio na dhana hizo.
Sikiliza Makala haya na Henix Obuchunju Ufahamu Mengi.