Watumishi wa umma huenda wakapokea nyongeza ya mishahara chini ya miezi mitatu ijayo , amesema waziri wa utumishi wa umma Aisha jumwa. waziri huyo amesema kamati...
Zikiwa zimesalia chini ya siku thelathini kabla ya kuanza kwa michuano ya kombe la dunia huko Qatar, shirika la kukabiliana na Ulanguzi wa binadamu (HAART) limeonya...
Ongezeko la magonjwa kama vile saratani na kisukari husababishwa na ulaji wa vyakula vilivyo na kemikali nyingizi kutoka dawa zinazotumiwa kuwaua wadudu wanaoshambulia mimea. Haya yamejiri...
Imebainika kuwa asilimia 49 ya watoto wa kike na 48 ya watoto wa kiume kati ya miaka 11-17 nchini Kenya wamepitia dhulma za kijinsia. Vitendo...
Takriban miaka thelathini, mashirika yasiyo ya kiserikali yamekuwa yakifadhili masomo ya wanafunzi kwa kuwalipia karo,kuwapa vyakula na hata wengine kulipiwa kodi za nyumba mtaani Kibra. Ufadhili...
Kenya ni mojawapo ya mataifa barani Afrika ambayo yamepiga hatua katika kuelimisha idadi kubwa ya wanawake wanaowanyonyesha watoto wao. kunyonyosha ni hatua ya kuanza kumzuia mtoto...