Kasisi wa kanisa la United Methodist Church East Africa Bishop Daniel Wandambula aliwasilisha ombi kotini la kuwataka wahubiri kuwa na shahada kabla ya kuruhuswa kuhubiri madhabauni....
Mkurugenzi wa shirika la Bridget Connect consultancy Bob Ndolo aliwasilisha ombi la kutaka mtandao wa kijamii wa Tik Tok kupigwa marufuku nchini Kenya kwa madai...
Uchunguzi ulioanzishwa kupitia wizara wa usalama wa ndani na idara ya serikali ya kulinda data umeonyesha kwamba mfumo wa ukusanyaji wa data kupitia jicho ulioanzishwa na...
Mwanaume mmoja kwa jina Williamson Omworo alishtaki kampuni ya kutengeneza Kondomu (Beta Health care), Shirika la kukusaya ushuru (KRA) , Mamlaka ya kudhibiti ubora wa bidhaa...
Watu watano wamelazwa katika hospitali ya Mama Lucy hapa jijini Nairobi baada ya kuumia wakati polisi walikua wakifyatua risasi katika kivuko cha reli cha Total...
Mfanyibiashara mmoja wa kiume ameuwawa na majambazi asubuhi ya leo katika eneo la kichinjio. Kulingana na mashuhuda, majambazi hao wawili walimuibia pesa mfanyikazi huyo katka duka...