Wakaazi wa eneo la Kibra katika kaunti ya Nairobi wanakabiliana na tatizo la maji taka ambalo linawaathiri pakubwa. Mara si haba, maji taka hufurika katika mitaa...
Dunia huadhimisha siku ya UKIMWI kila mwaka,mwezi wa Disemba tarehe 1. Ni siku ya kuwakumbuka wote waliopoteza maisha yao na pia kuonyesha mshikamano na watu wote...
Wakaazi wa eneo la Kibra katika kaunti ya Nairobi wanakabiliana na tatizo la maji taka ambalo linawaathiri pakubwa. Mara si haba, maji taka hufurika katika mitaa...
Mzozo baada ya uchaguzi unasemekana kuwa donda sugu barani Africa. Kila baada ya chaguzi kuu, nchi nyingi hujikuta kwenye kipindi cha mzozo huku upinzani katika mataifa...
Mbunge wa Embakasi Mashariki Paul Ongili, almarufu kama Babu Owino, ameeleza imani yake ya kunyakua kiti cha ugavana katika kaunti ya Nairobi kwenye uchaguzi mkuu mwaka wa 2027. Kulingana na Babu Owino, ana kila...