Kulingana na shirika la afya duniani WHO,asilimia 45 ya visa vya uavyaji mimba ni haramu.Visa hivi vimekithiri katika mitaa ya mabanda,Kibera ikiwa miongoni mwao. Sikiliza makala...
Mashirika yasiyo ya kiserikali yameiomba serikali kuharakisha mchakato wa ulipaji fidia kwa waathiriwa wa ghasia za baada ya uchaguzi wa Mwaka wa 2007. Mratibu mkuu...